--Leo nimekaa zangu nakunywa chai na mihogo mama akaja - TopicsExpress



          

--Leo nimekaa zangu nakunywa chai na mihogo mama akaja akaniambia"mwanangu cox mm na baba yako tumeona tuuze nyumba yetu ya tegeta tukutafutie chuo usome" kusikia hivyo nimetupa bakuli la mihogo nimeruka ruka vibaya mno akaniambia"yani hivi nnavyokuambia baba yako na kaka yako wameenda posta kukutafutia chuo ili uanze mapema chukua hizi laki tatu kafanye shoping ya chuo alafu kuna kagari baba yako amenunua akirudi utakaona" daah nimefurahi nimeruka ruka nikajisemea mabrazameni wa kitaa waliokuwa wananidharau watakiona cha moto na mademu huko chuo watanikoma watajua mm ni nani nimeoga fasta nimemuacha mama pale anapika pilau nimeenda kariakoo nimenunua pamba za kutosha yani pale home imekuwa sharehe ya sisi kuuaga umasikini nikamuambia mshua"baba nipe hela mm nataka niende club na rafiki zangu" amenipa kama laki ameniambia"chukua na hiyo gari yangu nenda nayo mtto wangu sitaki tena upate shida" daah masela wamenionea wivu balaa wakati walikuwa wananicheka ninavyovaa kofia za mkeka na chupi za chadema Tumefika club mademu full kunishobokea nimechafua meza vibaya mno kuna demu mmoja mkaliiii akanifuata akaniomba nicheze naye nikampiga sound pale akakubali niondoke naye nimempakia kwenye gari hadi hotel moja karibu na pale home nimechukua chumba nimeingia chumbani na mtto yani sijaamini kama cox chogo ndizi mm nagonga mtto kama yule demu alivyovua nguo ndo nikapagawa kabisa mmto mweupee mapaja mazuri nikamvuta hadi kitandani tukaanza kupeana mambo pale tukaanza kupeana maraha nikamwambia yule mrembo"tulia na mm bby cox mtto wa kishua ukiwa na tatizo lolote sema bby hapa pesa ipo" mrembo amefurahi balaa kusikia hivyo akazidi kuonyesha mautundu Ghafla nikastukia nimepigwa kofi la uso kustuka kumbe nipo ndotoni naota mshua ameniongeza kofi lingine la tumbo akaniambia"we mtoto jana si nimekwambia ukamsaidie bibi yako kuvuna viazi shamba kwanini umelala hadi sasa hivi amka haraka chukua jembe wahi shambani"daah nimekasirika sana yani mm nilijua nimeshakuwa mtto wa kishua kumbe ndoto kumbe ndo naenda kuvunishwa viazi shamba daah GONGA LIKE/SHARE/KAMA UMEIPENDA HII STORY
Posted on: Sat, 24 Aug 2013 06:04:37 +0000

Trending Topics



ght:30px;"> ល្ងាចថ្ងៃទី5/12/2014
Vadde Paaji Manjit Sahota g with his heart touching track... ache
gent Job Openings of the following : 1. Project
PEMBROKESHIRE COASTAL VILLAGE – SUBSTANTIAL COUNTRY INN. Two
Sundowns Board member passes on Mamelodi Sundowns today
#GosipPerpindahanPemain Diantaranya SELANGOR Shahril Ishak

Recently Viewed Topics




© 2015