*Ati unabeba guitar coz wewe ni msanii,kwani malaya hubeba - TopicsExpress



          

*Ati unabeba guitar coz wewe ni msanii,kwani malaya hubeba kitanda? *Ati elimu ni ngao kwani tunaenda vita? *Ati mwisho wa gari ni hapa kwani ikipita apo inakuwa ndege? *Ati gari haina wa2 kwani dere na konda ni wanyama? *Ati apple ni 40bob kwani ni yenye Eve aliuma? *Ati success card ni 500 kwani iko na mwakenya? *Ati kofia ni 3k kwani nikichoka itatembea? *Ati mbao mbao tao,kwani nikienda ocha zitakua plastic plastic? Lolz
Posted on: Sun, 04 Aug 2013 12:41:34 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015