#CHEO_DHAMANA #SEHEMU_YA1 Nili Mwona Akiwa Anakimbia Huku Jasho - TopicsExpress



          

#CHEO_DHAMANA #SEHEMU_YA1 Nili Mwona Akiwa Anakimbia Huku Jasho LikiMtoka Nyuma Akifukuzwa NA Kundi La Watu Kama Wa Nne Ila Hawaku Piga Kelele Kuashiria Msaada Wowote Na Hatimae Wali Fanikiwa Kumkatama Siku Taka Kuingilia Mambo Ya Watu Kwani Siku Jua Chanzo Kili Kuwa Nini Nili Potezea Naku Rudi Nyumbani Kesho Yake Nakuta Matangazo Mitaani Kwamba Kuna Mauaji Yame Fanyika Nani Livo Cheki Ile Sura Niya Yule Kijana Aliye Kuwa Akikimbizwa Jana Na Pia Sio Yeye Tu Niwengi Ila hatuJajua Chanzo Nini Paka Watu Hawa Wana Uwawa Basi Redio Magazeti Zili Kuwa Zina Tangaza Naku Lilia Juu Ya Uhalifu Huu Basi Nilivo Mwona Niyule Kijana Niliye Mwona Jana Nili Umia Sana Niki Jutia Kwamba Uwezo Nilikuwa Nao Waku Msaidia Ila Nili Amua Kutoji Ingiza Kwanini Siku Jua Chanzo Halafu Pia Yeye Mwenyewe Haku Onyesha Ishara Yaku Taka Msaada Basi Nilirudi Zangu Nyumbani Kuende Lea Na Shughuli Zangu Nyengine Vile Vile Siku Kaa Mbali Na T.V Ili Kufatilia Nin ChaNzo Hasa Paka Inakuwa Hivi Watu Wana Uwawa Ovyo Ovyo Basi #ITAENDELEA LIKE #HR
Posted on: Thu, 21 Nov 2013 06:12:40 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015