#CHEO_DHAMANA #SEHEMU_YA19 Lakini Mudumu Alikuwa Kesha Ngundua - TopicsExpress



          

#CHEO_DHAMANA #SEHEMU_YA19 Lakini Mudumu Alikuwa Kesha Ngundua Kitu Ila Mm Siku Taka Kusimama! Kwaku Tumia Gar Yake Yule Baba Nili Kimbia Sana! Ila Wakati Ule Nilikuwa Naona Kama Nime Fanya Kazi Kinyume Kwani Kama Yeye Peke Yake Ndo Nilize Weza Kumgundua Halafu Sija Mhoji Nime Muua Sasa Itakuwa Kazi Ime Fika Mwisho Kwani Siwezi Kuwa Tafuta Tena Wale Wengine Ila Niki Ende Lea Ku Jilaumu Kwani Licho Kifanya Kumbe Kwenye Suluali Niliyo Kuwa Nime Vaa Ambayo Niya Yule Jamaa Kuna Cm Ya Ke Basi Nika Jua Hapa Teyari Kazi Ina Endelea Nanita Wakamata Kupitia Cm Ile Wale Wengine! Nili Enda Paka Nika Fika Kwa Martha! Alisha Ngaa Sana Martha Kuona Niko Na Gar Ya Yule Mume Wa Rafiki Yake! Nili Paki Fasta Gar Ile Kisha Nika Shuka Martha Aka Niuliza! #Hamadi Leo Vipi Mbona Hivyo? Siku Taka Kumjibu Kitu Martha Nili Ingia Chumbani Kwangu Nika Aza Kupaki Nguo Zangu Teyari Kwaku Toroka Kesi Ya Mauwaji Niliyo Ya Fanya Nilivo Maliza Pale Martha Akawa Ana Ona Kama Hadithi Yani Haamin Anacho Kiona Mbele Ya Macho Yake #ITAENDELEA H
Posted on: Mon, 02 Dec 2013 14:19:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015