-Fisi ikawidwa iuliwe -ikapatana na mama akilima -ikauliza mama - TopicsExpress



          

-Fisi ikawidwa iuliwe -ikapatana na mama akilima -ikauliza mama aifiche itampea zawadi isipouliwa na akaificha na matawi -wawidaji wakafika nakumuuliza, akangoa hajaiona na basi wakaeda nakumuacha mama -walipotokomea, mama akafukua fisi dipo apewe zawadi -fisi akadai nivile ako na jaa, lazima amkule mtoto. -mama kweda kunyakua mtoto, fisi ikamuuma mkono wake nakuukata kisa ikaukula. -mama akapiga dulu lakini wawidaji wakawa bali zaidi na hawakusikia kilio. -ikamua mtoto nakuanza kumkula na ikaabia mama isipo shiba, hata yeye habahatiki -*-*-*-*- ??????? X1000? *in todays life -are you 1. The woman 2. Innocent child 3. Hunter 4. Hyena think great! *blessed day to all .Almighty Lord Must see what am trying to say
Posted on: Fri, 20 Sep 2013 04:52:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015