"Hatukumpiga risasi Sheikh Ponda, ila Askari wetu katika kuzuia - TopicsExpress



          

"Hatukumpiga risasi Sheikh Ponda, ila Askari wetu katika kuzuia vurugu walipiga risasi hewani" Hiyo ni kauli ya RPC wa MOro, Faustine Shilogile. MASWALI MUHIMU? Kama Polisi hawakupiga risasi, nani aliyempiga Sheikh Ponda risasi? Ni wafuasi wake? Kama wafuasi wake walikuwa na silaha na ndiyo waliompiga Sheikh Ponda risasi, lengo lao ni nini hasa? Na kama ni wafuasi wake mbona Polisi hawajasema kama kulikuwa na majibizano ya risasi baina yao? Au kwa kuwa risasi za Polisi zilipigwa hewani labda Sheikh Ponda alikuwa hewani akakutana nazo huko.!!!!!!!
Posted on: Mon, 12 Aug 2013 11:49:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015