#Hawa Baraza wana Bifu na mimi nini? ....Kwanini hawakufanya hivi - TopicsExpress



          

#Hawa Baraza wana Bifu na mimi nini? ....Kwanini hawakufanya hivi vitu nikiwa skuli?... Juzi FORM 2 kwenda FORM 3 wakasema kufaulu ni free wakati huo nyuma nimepata wastani wa 29 nikarudia nikajipinda hivyo hivyo kurudia kwa masimango na kichapo kutoka kwa dingi haya ... nimefika FORM 4 nimepata 0 wakaninyima cheti Alafu leo wanasema eti kuna DIVISION 5 jamani huu c ubaguzi me ntaliaaaaa Nasikia uchunguu eti nami si ningeosha hata na hako Ka D 5 Djaamaani aaaah lakini haina noumaa TANZANIA OYEEEEEEEEE Peace & Love..!!
Posted on: Sat, 09 Nov 2013 05:44:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015