""Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"""...Hamna Swali - TopicsExpress



          

""Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"""...Hamna Swali linalonishangazaga kama hili,halafu wadada wanalipenda balaa..Na sijui huwa wanataka tuwajibuje kwa mfano...Je niseme macho...Inye gwedegwede...Miguu yako yenye tege kama Boban..Nywele zako ndefu ama??Mbona mnatuforce tuwe waongo jamani?We Unapendwa inatosha shukuru Mungu unapendwa yaishe..Sasa hayo unayotaka kuchimbua yatakushinda...Upendo wa kweli haunaga sababu...Ukimpenda mtu kwa sababu ya kitu fulani kinachoonekana basi umeshafeli,bado uko kwenye Stage ya Tamaa...Mtu akishavuka akakupenda maana yake amevuka Tamaa maana Hardware muda wowote huwa zinazingua..Nyw ele zinanyonyoka..Miguu inababuka..Nyonyo zinakuwa sa 12 kama ndala za Umoja akizaa..Lazima kuwe na Inner reason ya yeye kukupenda hata kama Seating Allowance ikija ikapotea huko mbele...Sasa mdada unaambiwa Yaani mi napenda unavyotembea yaani kama Wema kamuona Diamond stejini..Na Dimples zako tu tutazaa watoto wa ukweli sana...Macho yako kama Paka mwenye Usingizi ndo yananimaliza,halafu Ukismile ndo naishiwa nguvu kama kuku mwenye Mdondo...Ukiambiwa unachekelea mwenyewe hadi gego lako lenye jino bovu linaonekana..Unablush hadi vipele vya ukurutu vinakutoka wakati umejibiwa upuuzi Grade 1...True Love has no reason,kwahisani ya watu wa marekani wenye asili ya ChunyaMuwe na Usiku Mwemaa
Posted on: Tue, 23 Jul 2013 18:49:36 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015