#MAISHAMAGUM NISITORI ZURI NA #HAMADI R - TopicsExpress



          

#MAISHAMAGUM NISITORI ZURI NA #HAMADI R Katika Familia Yetu Nilibahatika Kuzaliwa Mm Peke Yangu Kwan Baba Alipoteza Maisha Mm Nikiwa Bado Mdogo Sana Baadaya Baba Kupoteza Maisha Nilibaki Mm Na Mama Yangu Mpemdwa Nilikaa Nae Sana Ila Kadri Siku Zilivo Zidi Kwenda Niliaza Kuona Malezi Yana Pungua Yani Maisha Yana Azakuwa Mangumu Ndani Ya Familiya Yetu Kwan Marehemu Baba Alifanikiwa Kutuachia Mali Ila Baada Yakufa Wanandugu Wa Baba Wali Amua Kuchukuwa Maliza Marehemu Na Kudai Kwamba Marehemu Hata Nyumba Aliyo Kuwa Anaishi Ilikuwa Kapewa Msaada Kipindi Hicho Nilikuwa Na Umriwa Miaka 7 Yani Nilikuwa Bado Sina Ubavu Waku Tetea Mali Za baba Mama Yangu Mpendwa Aliamua Kwenda Paka Polic Ila Polici Kutokana Na Ileni Kesi Ya Familiya Hawaku Shughulika Sana Baba Yangu Mkubwa Alimfukuza Mama Atoke Katika Familiya Ile Tena Akae Mbali Kabisa Nili Lia Sana Ila Nilikuwa Sina Lakufanya Mm Nikachukuli Wa Na Bibi Mzaa Baba Ili Niweze Kuishi Nae Mama Aliamua Kufungasha Kila Kilichu Kuwa Cheke #ITAENDELEAa
Posted on: Sun, 27 Oct 2013 11:41:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015