. . . Naheshimu kila mtu Tajiri hata Masikini. Mwenye Roho safi - TopicsExpress



          

. . . Naheshimu kila mtu Tajiri hata Masikini. Mwenye Roho safi ama Roho ya kutu, Malaika mpaka Majini. Uwe mkali ama butu, mpole au mtukutu Mwenye shali pia kama kifutu. Nawaheshimu pia. . . . Siamini Ushirikina au Ibada za Makelele, majungu na fitina, mizengwe na visa tele. Napiga vita Ujinga maradhi na Umaskini. Sitaki kukuona unapotea, nataka kukuona mpotevu ukirudi kundini. Napigana na unafiki kwani mdomo hauna VAT. . . . Hebu jaribu kunisikiliza ninasema nini, wewe ndio Taswira yangu na mimi ndo Dira yako. Kukufunza ndio kazi yangu kwako jua hilo. Mimi sijakamilika najua kunawakati huwa nakosea, nami huwa sitaki mkahamasika nakaniiga mkapotea pale nilipokosea. Nitabaki kuwa David kama David hata nije nidrive Range na mkwanja kama Billy Gate. Sitakudharau hata nije kuwa na level kama za akina Jay Z
Posted on: Thu, 26 Sep 2013 08:20:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015