¤¤SHADE OF LOVE¤ Mtunzi: - TopicsExpress



          

¤¤SHADE OF LOVE¤ Mtunzi: Chicolovebaby Namba:0658,0765,270133 Sehem: 30 Nikiwa nimekumbatiana na Patricia gafla simu yangu ikaita kuicheki ivi nikashtuka alikua ni baba" "Hallow shikamoo baba" "Marahaba uko wapi? "Nilichelewa nikalala kwa rafiki yangu Paul" "Sasa nilikuwa nataka uwai nyumbani nikuagize pale offisini kwangu" "Sawa baba nakuja mda mchache ujao" "Fanya haraka maana nibarua nataka upeleke hapo upesi" "Sawa ndio najiandaa nakuja saivi" "Sasa beibe twende tukaoge baba ananihitaji nyumbani anataka anitume " "Tukainuka na kwenda kuoga uku tukiwa tumekumbatiana " "Bafuni tulioga uku tukicheza michezo mbalimbali kuashiria upendo" "Beibe nisugue hapa" "Wapi beibe? "Hapa nitanunua au utaki kuniogesha utamuogesha nani zaidi yangu" "Sijasema sitaki beibe ngoja kwanza nimalize uku mpenzi ndio nije hapo" "Haya nikuachie wewe uku nikimsugua kimahaba mtoto akawa ananiimbia kawimbo katamu nakunifanya nisikie furaha sana moyoni" "Beibe kumbe unasauti nzuri ivyo yakuimba eeh" "Wala nimejaribu tu mpenzi sauti yangu mbaya" "Kwangu mimi ni nzuri kama wewe ni mzuri kwangu hakuna kiungo cha mwili wako kitakua kibaya kwangu" "Asante beibe nafurahi kusikia ivyo mpenzi" "Beibe sasa zamu yako nawewe kuniogesha? "Mtoto akaanza kuzishika izo bajaji kwa vidole vyake laini nakuanza kuzifanyia usafi taratibu" "Nakunifanya nisikie raha hadi magoti yakalegea kwa jinsi alivyokua anaziosha kichokozi" "Baada ya kuakikisha kila kiungo cha mwili wangu amekifanyia usafi vizuri" "Akachukua taulo kavu nakuanza kunifuta maji taratibu kama vile ananikanda kwa kutumia ilo taulo" "Beibe bado uku kuna maji maji nikaushe" "Baada yakumaliza nami nikamfuta hadi kule kwa dhabibu langu nakuakikisha pakavu kabisa" "Kisha tukatazamana na kukumbatiana kwa furaha" "Asante beibe kwa kuniogesha mwaaah" "Asante pia mpenzi kwa huduma zote ulizo nifanyia nakupenda Patrick" "Nakupenda pia Patricia tukatoka bafuni uku tukiwa tumeshikana viuno na kwenda kuvaa nguo" "Beibe subiri hapo nije nikupake mafuta mpenzi" "Usijali beibe acha tu nijipake mwenyewe " "Mimi sitaki beibe nataka nikupake mimi mwenyewe utaweza kujipaka mgongoni? "Haya bana mtoto akawa ameinama anachukua mafuta kwenye pochi yake " "Nikacheki alivyo nakijungu , miguu , hipsi nikatamani hata tuendelee kukaa pale hotelini niwenampa dozi tu nikijisikia" "Mtoto akaja akanza nipaka lotion taratibu na miköno yake laini akinipaka dizaini ya kupapasa mwili hivi nakunifanya nipate hisia" "Beibe taratibu na huo upakaji wako utaniamshia mengine hapa na unaona mzee kaniita mpenzi" "Usijali mpenzi nipo kwa ajili yako uku akishusha vidole vyake laini zile sehemu hatari zaidi" "Nikajikuta na hema kwa nguvu uku nikimshika mkono" "Beibe inatosha mpenzi acha uku nitamalizia mimi mpenzi unaniamsha nani alafu nitachelewa beibe nikitaka" "Kwani ukitaka siunaniudumia tu mpenzi unataka umpe nani zaidi yangu? "Sio hivyo mpenzi baba ameniambia niwai nyumbani saivi anataka nituma ofisini kwake mpenzi" "Uku mtoto akiwa kama amekasirika ivi baada ya kumkataza kunipaka mafuta zile sehemu mbaya" "Akaniweka katika majaribu makubwa sana maana mda nao ulikuwa umeshanda sana ilikua tayari ni saa tatu na nusu na ilitakiwa saa tano kasoro niwe hapo ofisini" "Nikajikuta namsogelea nakuanza tena kumbembeleza taratibu" "Beibe umechukia mpenzi? "Beibe sio kama sitaki unihudumie ila utaniamsha hisia zangu alafu nijikute tayari nimeshahitaji penzi lako " "Mtoto akazidi niweka majaribuni pale aliponiambia" "Kwahiyo ukihitaji penzi langu siwezi kukupatia? "Hapana sio hivyo mpenzi natakiwa nimuwai baba umenielewa beibe" "Mimi sitaki acha nimalize kazi yangu likalotokea acha litokee beibe mimi nikiwa nawe nahitaji niwe mmiliki wa mwili wako? Nikajikuta nimeinua simu nakutaka.........ITAENDELEAA Usikose kufuatilia mchana hadith hii kujua nini kiliendelea! SEHEMU 31 @Chicolovebaby@
Posted on: Tue, 24 Sep 2013 04:33:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015