"YANI MI NI ZAID YA MSHUMAA" Namba x Kidume - TopicsExpress



          

"YANI MI NI ZAID YA MSHUMAA" Namba x Kidume taratibu nikapanda juu ya mwili mzuri wa binti yule,,kabla ya kupeleka bunduki yangu kunako nikaanza kumnyonya tena mate mrembo Anitha aliyekuwa na mdomo mzuri mfano hakuna,,ile nataka tu kuanza rasmi gemu mala simu ya Anitha ikaanza kuita "Embu niletee hiyo simu kwanza niizime kabisa..........."Anitha aliniambia kwa sauti ya uvivu akionekana kukasirika kwa usumbufu wa simu yake "Achana nayo mpenz wangu,,ngoja tuendelee tu"Nilimwambia Anitha wakati naitanua miguu yake vizuri "Hapana Wilbat,,lete niizime kabisa mana itatusumbua sana......."Anitha aliniambia huku akiinuka kabisa kitandani,,nikaona isiwe shida ngoja tu nimpe simu aliyokuwa akiitaka ili aizime mana mi mwenyewe niliona ni vizuri zaidi kama angeizima simu ile!! "Haya hii hapa izime basi............"Nilimwambia Anitha wakati namkabidhi simu yake iliyokuwa imeacha kuita,,ile anapokea tu simu ikaanza tena kuita "Mmh kumbe anayenipigia ni mama......"Anitha aliniambia wakati anafikilia kuipokea simu ile,,nilimuona akipeleka kidole chake kwenye batani ya kijani,,akaipokea simu ile ya mama yake "Hallow mama.............."Nilimsikia Anitha akiongea,,nikabaki namuangalia tu huku nikitamani amalize haraka kuongea ili kidume niendelee na yangu niliyokuwa nikiyafanya "Enhheeeee nini tena jamani baba yangu.......?"Nilimsikia Anitha akishangaa huku sura yake ikibadilika na kuwa ya huzuni,,nami nikaanza kupata wasiwasi "Jamani baba yangu,,nakuja sasa hivi mama...."Anitha aliongea kisha akakata simu yake huku machozi yakianza kumtoka "Mpenzi nin tena........?"Nilimuuliza Anitha huku nikimkumbatia lengo lilikuwa nimlaze tena kitandani "Baba yangu amedondoka ghafla na kupoteza fahamu hivyo wamemuwahisha hospitali"Anitha alinieleza kwa sauti ya huzuni "Mmmh hospitali gani wamempeleka.......?"Nilimuuliza Anitha "Muhimbili............"Anitha alinijibu huku akijitoa kwenye mwili wangu na kufuata viwalo vyake kwa ajili ya kuvivaa "Aiyaaaaaa,,tayarai disco lishaingia mmasai"Niliwaza mwenyewe moyoni huku nikimuangalia Anitha wakati anavaa komeo lake "Ningejua nisingeleta mapozi,,saa hizi ningeshamaliza ata raundi ya kwanza"Niliendelea kuwaza huku nikimuangalia Anitha,,safari hii alikuwa anamalizia kuvaa blauzi yake kwani tayari alishavaa kila kitu "Ila sio mbaya,,naamini ipo siku ntamfaidi tu huyu mtoto"Niliendelea kuwaza huku nami nikiinuka kuvaa suruali yangu na flana yangu tayari kwa ajili ya kuondoka "Mpenzi nisamehe sana kwa haya yote yaliyotokea,,nisingeweza kufanya tena kitu kama hiki mana tayari akili yangu imeshahama kabisa"Anitha aliniambia huku akinikumbatia "Najua unaumia lakini naomba nivumilie,,ipo siku utafurahi zaidi"Anitha aliniambia kisha akanibusu shavuni mala tatu "Naomba niwahishe hospitalini ili nikaone hali ya baba"Anitha aliniambia,,wala kidume sikuwa na ubishi,,taratibu nikaanza kutoka nikiwa nimemshika Anitha wangu kiuno hadi tukafika nje nilipoipaki gari yangu,,tukaingia ndani ya gari na safari ya kuelekea Muhimbili ikaanza!! *********** "Mpenzi mi naona nikaendelee na kazi,,tutawasiliana baadaye......"Nilimwambi Anitha nilipomfikisha nje ya hospitali ya Muhimbili "Sawa beb wangu,,nakutakia kazi njema na nakushukuru sana kwa kuwa muelewa"Anitha aliniambia kwa sauti ya upendo,,nikaagana na Anitha kisha nikaeekea tena kijiweni kwa ajil ya kuendelea na kazi mana ndo kwanza ilikuwa saa saba mchana!! "Yani ikitokea uje upepo mkali ndugu yetu Wil unaweza ukapeperuka......"Richard aliniambia aliponiona nimerudi Kijiweni "Kwanini tena.......?"Niliishangaa kauli ile ya Richard "Hapo ulipo mwepesi zaidi ya karatasi,,chezea mapenzi wewe"Richard aliongea kisha wote tukawa tunacheka "Ila kwa uzuri wa kale katoto,,lazima mzee udate,,tena kanaonekana kanajua sana yale mambo yetu"Jamaa mwingine tuliyekuwa naye pale kijiweni aliongea akiendelea kunitani "Wangejua kama mwenzao sijaambulia chochote wala wasingeyaongea hayo"Niliwaza kimoyomoyo huku nikiendelea kuwasikiliza tu waliyokuwa wakiyaongea!! Mungu alikuwa upande wangu siku ile,,kwani kwa masaa machache nilifanya kazi ya kutosha kuweza kupata hela ya kipande cha tajiri na ata hela ya kula niliipata kwa wingi,,hatimaye siku ikaisha,,nilirudi nyumbani kwa ajili ya kupumzika huku mawazo yangu yakiwa kwa Anitha aliyenusurika siku ile "Ngoja nimpigie simu nimuulizie hali ya baba yake"Niliwaza na kumpigia simu lakini hakupatikana,,kila nilipojaribu hali ikawa ileile nikajua fika uwenda simu yake ilikuwa chaji na lazima angenitafuta kabla ya kulala lakini mpaka inafika asubuhi bado sikuwa nimepata sms wala call kutoka kwa Anitha na kila nilipompigia bado hakupatikana kabisa kidume nikazidi kuchanganyikiwa!! ********* Itaendelea.................. Nawatakieni Siku Njema Na Kazi Njema Wapendwa Comment Na Like Nyingi Zinahitajika Pia Naruhusu Maswali Kwa Wasomaji Wapya Na Napokea Maoni Yeni Juu Ya Simulizi Hii Inayoendelea By #Hajrat_Classic_Mudboy
Posted on: Fri, 30 Aug 2013 06:13:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015