-huu ni ufala,kuna baadhi ya watu wakishaenda nje kusoma,wakirudi - TopicsExpress



          

-huu ni ufala,kuna baadhi ya watu wakishaenda nje kusoma,wakirudi Tz wanajifanya hawajui Kiswahili,huu ni ufala kweli,wengine wakirudi bongo baasi hata wale marafiki zao waliowaacha huwadharau..huu ni ufala mno aise -kuna hawa wengine,akiishi dar muda mfupi tu na kuja kurudi kwao hujifanya anaongea lafudhi ya kiswahili cha kizaramo,wengine hata kikwao hujifanya hawajui tena,huu nao ufala bana,kwa nn ukane kikwenu? Anza na like,sema chochote,twende kaazi!
Posted on: Tue, 24 Sep 2013 08:54:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015