....stak kujaj rightfulness ya subjective attitude ilokuwa kichwan - TopicsExpress



          

....stak kujaj rightfulness ya subjective attitude ilokuwa kichwan mwake ila sjawai ona mtu anayeupenda MUUNGANO WA TANZANIA na kuutetea kwa nguvu zote kama JULIUS K.N Julius alikuwa yupo radh muachane undugu,urafik na akutmue kaz endapo tu unataka kuhatarisha uhai wa Tanzania. Chek hapa chin; -Alimtmua kaz Makam wake wa Rais Aboud Jumbe mwaka 1984 kwa kudai Muungano uvunjike -1988 alimtmua kaz Wazir kiongoz wa Serikal ya Mapnduz Zenj Seif Sharrif Hamad na wenzake 5 kwa kosa hilohilo -Mwanzon mwa miaka ya 90 alilazmika kurud kazin na kwenda kuwatuliza wabunge maarufu wa G55 wakiongozwa na Njelu Kasaka walokuwa wakidai bungen uwepo wa serikal 3.akawambia kama wanataka serikal 3 warud kwa wananch kwa maon coz bunge halina mamlaka pekeake kuchange katba na akawaambia waz weng wanalilia serikal 3 7bu ya uroho wa madaraka kuelekea 1995 -mwaka 1994 anawafukuza kaz Makam wa Rais na Wazir Mkuu John Malecela na Katbu wa CCM na Wazir wa Mipango Mar. Horace Kolimba kwa kuzid kungangania hoja ya serikal 3 tofaut na msmamo wa chama. Wakumbuke kwamba Muungano ndo unaowafanya wajione sisi wazanzibari. Nje ya Muungano hakuna. tena.Nje ya Muungano kuna wao wapemba na sisi waunguja- J.K.N #EID MUBARAK
Posted on: Wed, 16 Oct 2013 05:13:58 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015