1. Mwanamke ambaye anajua kuzungusha mascara kwa uso akiweka - TopicsExpress



          

1. Mwanamke ambaye anajua kuzungusha mascara kwa uso akiweka urembo lakini hajui kuzungusha mwiko kwa sufuria akitengeneza ugali ni schupit. 2. Mwanamke ambaye anajua kupaka eyeshadow kwa macho lakini hajui kupaka blueband kwa mkate ni schupit. 3. Mwanamke ambaye anaweza tembea kwa high heels akibeba handbag kubwa yenye imebeba spare wig, spare tyre, umbrella, lipstick, tissue paper, cutex, caltex, total na oil libya bila kuanguka lakini hawezi beba mtungi ya maji kwa kichwa ni schupit. 4. Mwanamume ambaye anavaa viatu ya kitenge, jacket ya kitenge, carrot jeans ya kitenge lakini bibi hana nguo ni schupit. 5. Mwanamume ambaye anachoma nywele na hakuna makaa kwa jiko wala gas kwa gascooker nyumbani ni schupit. 6. Mwanamume ambaye anawatch soaps na anaoga yesu akirudi ni schupit.
Posted on: Thu, 24 Oct 2013 08:20:24 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015