1.SIKU MOJA BAADA YA KUAGANA SARE YA TASA NA KUFANYA TASA - TopicsExpress



          

1.SIKU MOJA BAADA YA KUAGANA SARE YA TASA NA KUFANYA TASA WALIZOAGANA KUFIKIA NNE KATI YA MANCHESTER UNITED NA CHELSEA,,KUFUNZI WA CHELSEA ANASEMA WAYNE ROONEY NII LAZIMA AWEKE WAZI KAMA ANATAKA KUSALIA OLD TRAFFORD AU LA AKIZUNGUNGUZA NA WANAHABARI BAADA YA MECHI YA JANA AMBAPO ROONEY ALIONESHA MCHEZO MZURI ,MOURINHO ANASEMA UAMUZI SASA UKO MIKONONI MWA ROONEY MWENYEWE JOSE AMESISITIZA HANA NIA YA KUFUATA WACHEZAJI AMBAO WANARIDHIKA MAHALI WALIPO,NA AKASEMA SI YEYE ALIANZISHA NGOMA HIYO BALI NI ROONEY MWENYEWE NDIE ALIONESHA HAJA YA KUTAKA KUJIUNGA NA KLABU HIYO YA LONDON SASA BASI MOURINHO AMEMPA WAYNE ROONEY SAA 48 KUCHAGUA KUSUKA ,KUNYOA AU KUSONGA INSERT…MOURINHO SOMEBODY 2.NA SASA TUMSKIZE MKUFUNZI WA MANCHESTER UNITED DAVID MOYES AMBAE ANASEMA HAKUFURAHISHWA NA SARE YA JANA LICHA YA KUPONGEZA TIMU YAKE KWA MCHEZO MZURI ILIKUA NI SARE YA KWANZA YA TASA KWA MANCHESTER UNITED KWAO NYUMBANI TANGU MWAKA WA 2009,HUKU TIMU ZOTE ZIKISHINDWA KUFANYA MASHAMBULIZI YA KISAWA SAWA MCHEZO WA KUVUTIA WA WAYNE ROONEY ANAETAZAMIWA KUJIUNGA NA CHELSEA ULIPOKELEWA VYEMA NA MASHABIKI HUKU WAKIMSHANGILIA KILA ALIPOSHIKA MPIRA MOYES PIA ALIZUNGUMZIA KUHUSU MWAMUZI MARK ARTINKINSON ALIECHEZESHA MECHI HIYO NA HAND BALL KIBAO ANAZODAI OSCAR NA LAMPARD WALIZISHIKA INSERT…MOYES NOT BAD 3.MSHAMBULIZ WA TOTTENHAM GARETH BALE ALIKOSA KUONEKANA KWENYE MAZOEZI YA KLABU HIYO BAADA YA LIKIZO ALIYORUHUSIWA NA KLABU KUKAMILIKA BALE MWENYE UMRI WA MIAKA 24 NI GUMZO KUU KWA INAYOTARAJIWA KUWA REKODI YA DUNIA KWA USAJILI YA PAUNI MILIONI 86 KWA REAL MADRID LAKINI TOTTENHAM INASMEMA KWAMBA HAKUNA MAKUBALIANO YOYOTE KUFIKIA SASA BALE ALISTAHIKI KURUDI MAZOEZINI HII LEO LAKINI HAKUNA SABABU AMBAZO ZIMETOLEWA KWANINI HAKUFIKA TAARIFA ZA KUAMINIKA ZINAARIFU KUWA TAYARI KUNA UKUMBI MZURI AMBAO UNAJULIKANA KAMA BALE BOX UMESHAPAMBWA UGANI BERNABEU KUMJULISHA RASMI BALE KWA MASHABIKI NIKIINGIA KATIKA MITANDAO MOJAWAPO YA SPOTI NILIUONA UKUMBI HUO SASA YOTE NI YA KUSBIRI SUBIRI KUNA WENGINE TAYARI WANASEMA BALE ASHAJIUNGA NA MADRID ANY WAY KAMA MWANASPOTI NINAEFUATILIA TAARIFA MBALI ZA MICHEZO HII TAARIFA NILIOKUPA HAPO JUU NIMEINUKUU USIKU HUU KUTOKA MTANDAO WA MICHEZO WA BBC HATA HIVYO MKUFUNZI WAKE ANDRES VILLAS BOAZ AMEMTETEA AKISEMA WALIMPA SIKU 2 ZA MAPUMZIKO…DOOO SASA HIKI NI KIYAKA YAKA 4.MECHI ZA MKONDO WA PILI KUSAKA KATI YA NAFASI 10 ZILIZOSALIA ZA KUFUZU KWA DIMBA LA KLABU BINGWA BARANI ULAYA ZINAPIGWA USIKU HUU ARSENAL WALIOIKWARUZA FERNABAHCE BAO 3 KWA NUNGE HUKO UTURUKI JUMA MOJA LILILOPITA WANAIKARIBISHA KLABU HIYO EMIRATI SASA CJUI ZITAKUA SITA AUST VIENA INACHEZA NA DINAMO ZAGHREB LEGIA WARSAW IIKARIBISHE STEAUA BUCHREST FC BASEL NA LUDOGORETS RAZGARD KISHA PAOK SALONIKA IIKARIBISHE SCHALKE 04 5.KLABU YA PSG PARIS IMESEMA KWAMBA INATAKA KUTUMA OFFA YA URO MILIONI 40 KWA MSHAMBULIZI WA BARCELONA PEDRO RODRIGUEZ RODRIGUEZ ANA MIAKA MITATU KATIKA KANDARASI YAKE NA BARCELONA ,HATA HIVYO BADO HAIJATHIBITIKA KAMA BARCA WATAIKUBALI TAARIFA HII NIMEINUKUU KUTOKA RADIO YA MICHEZO NCHINI UHISPANIA RADIO MARCA KWENGINE NI KWAMBA KLABU YA TOTTENHAM HOTSPURS IMEJIUNGA NA MANCHESTER UNITED KUTAFUTA SAHIHI YA KIUNGO WA CHELSEA JUAN MATA BAADA YA MATA KUKOSA HATA KUCHEZESHWA SEKUNDE MOJA KATIKA MECHI YA JANA SPURS WANA HAMU YA KUMPATA MSPANYOLA HUYO PIA TAARIFA HIYO NIMEINUKU KUTOKA RADIO MARCA 6.REAL MADRID IMETOA OFFA YA KUWAACHILIA MSHAMBULIZI KARIM BENZEMA ,ANGEL DEMARIA NA MESUT OZIL HUKU WAKITAFUTA PESA ZA KUJALIZIA KUKAMILISHA ILI WASAJILI GARETH BALE NA LUIS SUAREZ HUKU DURU ZA KUAMINIKA ZIKIARIFU KUWA PIA ARSENAL WANAWAMEZEA MATE WATATU HAWA TAARIFA HIZI NIMEZINUKUU KUTOKA DAILY MIRROR
Posted on: Tue, 27 Aug 2013 17:10:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015