1. Ukiona mtoto anatumwa na harudishi change. Huyo - TopicsExpress



          

1. Ukiona mtoto anatumwa na harudishi change. Huyo atakuwa Makanga. Just encourage him/her 2.Ukiona mtoto anaitwa na haitiki, huyo atakuwa waiter, just encourage him/her 3.Ukiona mtoto kila saa ni Kisirani, huyu atakuwa Kanjo just encourage him/her 4.Ukiona mtoto ana slap tutoto tudem twa mtaani huyo atakuwa Governer wa Nairobi waschana wa Nairobi wana panganga just encourage him! 5. Ukiona mtoto analialia ovyo ovyo just encourage him/her he will become a deputy president
Posted on: Fri, 20 Sep 2013 09:50:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015