ABDI na rafiki yake wamekutana afta long time ABDI : Hey, Unajua - TopicsExpress



          

ABDI na rafiki yake wamekutana afta long time ABDI : Hey, Unajua nilioa! MIMI : Maze si hiyo ni poa! ABDI : Hapana. Bibi ni sura mbaya kama kifua ya nyangumi MIMI : Oh! Maze hiyo ni mbaya! ABDI : Zii,, Hiyo ni poa coz ako na pesa mingi sana MIMI : Then maze hiyo ni poa sana! ABDI : Maze imagine na haezi nipea hata one bob... MIMi : Maze hiyo basi ni mbaya ABDI : Zii, hiyo ni poa sana! Alininunulia hii gari na nyumba kubwa poa Runda Estate! MIMI : Basi hiyo ni poa mtu wangu ABDI : Zii, si poa coz, maze hauskii nyumba ilichomeka bana! MIMi : Basi mtu wangu hiyo ni mbaya ABDI : Zii, Hiyo ni poa! Alikuwa ndani ya nyumba…!
Posted on: Tue, 02 Jul 2013 22:28:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015