ANGALIZO BAADA Ya Jamila kuzidiwa ujanja na kiboko yake…. JM - TopicsExpress



          

ANGALIZO BAADA Ya Jamila kuzidiwa ujanja na kiboko yake…. JM katika barua kutoka jela sehemu ya kwanza…… Mambo bado hayajaisha!!! BARUA KUTOKA JELA….SEHEMU YA PILI….kesho saa sita mchana inaendelea tena….Lazima kielewekeee LAKINI KUBWA ZAIDI!! NI KITABU CHA RIWAYA YA BARUA KUTOKA JELA….. Kinakujia ndani ya wiki mbili zijazo!! Kitabu hiki cha aina yake kitaunganisha sehemu ya kwanza na ile ya pili… ni kumbukumbu ambayo wewe kama mdau wa riwaya hutakiwi kuikosa hata kidogo……. **TAARIFA ZAIDI itatolewa hahapa konani…. Kujua unakipata vipi kitabu….. NB: Kesho ratiba inaendelea kama kawaida…. Anaanza MTAFITI, na kisha mchana inaandikwa BARUA KUTOKA JELA, halafu jioni sasa wale wenye maJERAHA YA HISIA sasa wanapoozana!!!! **Tuko pamoja sana!!!!
Posted on: Mon, 07 Oct 2013 15:44:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015