ANGALIZO KWA SISI WANAUME: Miaka ya hivi karibuni kuanzia 1998 - TopicsExpress



          

ANGALIZO KWA SISI WANAUME: Miaka ya hivi karibuni kuanzia 1998 kushuka chini kijana akijisaidia haja ndogo mkojo utoka na presha kama hatua mbili za mtu mzima.Lakini kuanzia 1999 kuja juu presha ile haipo tena! kila kona sasa hivi kuna kibao cha mganga maelezo kinasema dawa ya nguvu za kiume inapatikana hapa.Souce ya yote ni vyakula vya kigeni kama chumvi,royco mchuzi mix,kuku broila na vidonge tunavyojimezea hovyo hovyo vinatuletea madhara kwa baadae.ningependa tuwe tunapendelea kula vyakula vya kikwetu vile vya zamani.ZAMANI wali nazi....nazi unakuna mwenyewe,makande....mahindi unatwanga mwenyewe.....kuku wa kienyeji lakini cku hizi kuku wa kienyeji wanapatikana kwa shida! JAMANI TUPENDENI VYAKULA ASILIA ZAMANI mwanaume ndio alikuwa anashitak kwa wakwe mke anamnyima #unyumba.....lakini cku hizi mambo yame change mwanamke ndio analalamika mumewe hamtoshelezi na cku kadhaa hajapewa #unyumba. Ndugu! mimi niko fiti kama picha ya #KONYAGI any time nipo........
Posted on: Tue, 23 Jul 2013 14:34:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015