AWW, Siku moja Mtume MUHAHAMMAD(S.A.W) ilikua ameketi na ma SAHABA - TopicsExpress



          

AWW, Siku moja Mtume MUHAHAMMAD(S.A.W) ilikua ameketi na ma SAHABA zake wa4 watukufu na akawa uliza jenimambo gani mnayo yapenda apa duniani? 1) ABUBAKAR SIDIQ(R.A.A) ; akajibu YA RASUULULLAH kwa ajili yako mi napenda mambo ma3 apa duniani:la 1. napenda kutazama uso wako ya RASUULULLAH(S.A.W) 2.napenda kukaa nawewe katika vikao vya baraka YA RASUULULLAH(S.A.W) 3.napenda kutoa mali zangu kukupa wewe ya RASUULULLAH(S.A.W). 2) OMMAR BIN KHATWAB(R.A.A) ; nae akasema nami napenda mambo ma3 kwa ajili yako ya RASUULUH(S.A.W) la 1. napenda ku amrisha mema na kukataza maovu japo kwa siri, 2. napenda kukataza mabaya japo kwa zahiri, 3, napenda kusema ukweli(HAQI) ata kama unachoma (ata kama una uma). 3) UTHMAN BIN AFAN(R.A.A) :nae akasema napenda mambo ma3 kwa ajili yako ya RASUULULLAH(S.A.W) 1.napenda ku lishiza chakula, 2.napenda ku toa salam, 3.napenda ku simama kuswali usiku wama nane (wakati watu wamelala) 4) ALLIYU BIN ABITALIBU(R.A.A) ; nae aka jibu kwa ajiliako nami napenda mambo ma3 ya RASUULULLA(S.A.W) ; 1. napenda ku kirimu wageni, 2.napenda ku funga swiyamu wakati mgumu ambapo jua nilikali kabisaaa, 3.napenda ku kata vichwa vya makafiri. MTUME MUHAMMAD(S.A.W) nae akasema nayeye ana penda mambo ma3: 1.anapenda manukato (parfum ao mafuta uzuri), 2.anapenda wake zake, 3.anapenda kusimamisha swala (kuswali). kisha ALLAH(S.W) aka mtuma jibril amwambie mtume MUHAMMAD(S.A.W) kwamba Naye ALLAH(S.W) ana penda mabo ma3: 1. anapenda ulimi wenye kumtaja kwa wingi, 2.ana penda moyo wenye kumbuka na kumshkuru zaidi, 3.ana penda mwili wenye kustamili na kuhimidi misukosuko,tabu na mitiani pia.
Posted on: Sat, 26 Oct 2013 23:00:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015