Admin Hide Id Vipi watu wangu. Hivi nina tatizo japo la - TopicsExpress



          

Admin Hide Id Vipi watu wangu. Hivi nina tatizo japo la kiaibu lakin nafsi inaniumiza. Mi ni mvulana wa miaka 22 wa chuo kikuu na nipo kwenye uhusiano na jimama moja lenye hela na pesa! Limenibana kwenye boksi lake kwa mda wa mwaka mmoja haliniruhusu niende nikawatembelee wazaz wangu walonileta chuoni...jamani hata hawajui niliko kwani hata mawasiliano hamna manake ile simkedi ilivunjwavunjwa! Japo nalishwa,hela napewa lakini naikosa familia ya kwetu! Haniruhusu nitembee peke yangu anakisia ntamhepa! Kila siku ananichosha kwa kumrambisha halua!! Ashanyakua paswad yangu ya Mitandao yote hivo anapitiapitia inboksi zangu kuona ikiwa kuna mawasiliano yoyote kati yangu na mabinti!! Anaahidi kuniua nikionyesha dalili zozote za kumponyoka!! NIMESHINDWA! Jamani nisaidieni maoni Share
Posted on: Sat, 19 Oct 2013 10:02:07 +0000

Trending Topics



a>
Become a trend scout - and get paid for your opinion! WhitePins+
Tu eres el NOVIO de mi hija?.. Si pero antes de que diga cualquier
Remember those walls I built? Well, baby theyre tumbling

Recently Viewed Topics




© 2015