Afrika ni bara la pili kwa ukubwa nyuma ya bara la Asia. Mbali na - TopicsExpress



          

Afrika ni bara la pili kwa ukubwa nyuma ya bara la Asia. Mbali na ukubwa na wa bara hili lkn pia ni bara ililo jaliwa kuwa na maliasili nyingi na mandhari nzuri ya kupendeza. Africa kuna madin, mbuga za wanyama kuna mic2 ya kupendeza na kuvutia, milima mizul ya kuvutia pia imeongeza uzuri wa bara hli, lkn pia kuna ardhi yenye ru2ba ardhi inayo kuhusu mazao kustawi vzul hta pengne bla kuhitaji msaada wa mbolea. lnk pa1 na yote hayo Africa bado ipo ktk gza totoro, gza baya la umackin.
Posted on: Mon, 12 Aug 2013 08:10:41 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015