After 3 months of fb chatting, leo tumemeet na my fb crush, - TopicsExpress



          

After 3 months of fb chatting, leo tumemeet na my fb crush, Ngîna Kenyatta. Aliniinbox akaniambia nitokee hapo kwetu nje at around 10 a.m. Nikavaa ile short yangu imechorwa maguns za Rambo huku kwa sides na nikadunga reeboks zangu Sunday Best na shati yangu nikafungua vifungo ndo kaNgîna kakiona ma ice cubes kabambike. Nikatokea apo nje ya kwetu kukaa kitu kaa 20 minutes nikacheki KiRange rover kimesimama then mlango ikafunguliwa... waah, sema kaNgîna kutoka nje, kakakam kakanisalimia then kakanikiss hapa nyuma ya mkono. Tukaingia kwa range tukaenda hoteli. Kuletewa menu hakuna kitu nilikua najua so nikachagua namba 23..Ngîna na waiter wakanichekelea juu nilikuwa nimechagua towel ya kupanguza mikono. Ngîna akachukua menu akaorder food. Kutulia kiasi before food iletwe nikaskia nimerushiwa mchanga kwa macho shwaaaa!!! Kumbe tulikuwa shamba kulimia mahindi nikachoka mpaka nikalala. Sasa ni mathee alikua ananimwagilia mchanga kwa macho niamke. Niliboeka mpaka saii sina raha. Tuonane baadaye.
Posted on: Sat, 14 Sep 2013 19:15:38 +0000

Trending Topics



ody" style="min-height:30px;">
Niggaz Aint Right Like A Left Turn...i Could Speak On 4 Life...but

Recently Viewed Topics




© 2015