Ai majamaa!!Ata kama ndo kuna baridi,yani mtu ananuka jasho kama - TopicsExpress



          

Ai majamaa!!Ata kama ndo kuna baridi,yani mtu ananuka jasho kama mbuzi ya Turkana yenye imenyeshewa yawah!!!? Alafu unaona dem beste yako anaku hug then jamaa pia inadai hug!Wololo!! Sema dem kushikwa na homa ya ngurwe! Ata kama ni ka passport,pliz jaribu!Osha izo makwapa!Wacha kunuka kama sewage za Kibera!! Aish!seriously,uko over 18 na kuoga ni shida yawah!Na ati uko kampo!?Ni ujinga unaongeza ama unafanya Bachelor in Science sewage management!?UMEROGWA!!!!?
Posted on: Wed, 13 Nov 2013 18:09:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015