Amani ya bwana ikutangulie na taifa lote, Matarajio tufike mbali - TopicsExpress



          

Amani ya bwana ikutangulie na taifa lote, Matarajio tufike mbali chini ya uangalizi wa kikwete Kadri muda unavyokwenda hali ya nchi inakuwa tete Sijui ka ni upinzani ama chama cha siasa chochote Weka mkono wa kulia kushoto mahala pa moyo wako, Tuimbe wimbo wa Tanzania mkumbushe na mwenzako Unachopigania hauna na ulichonacho si kitu kwako Walaumiwe viongozi au wanaotupeleka kusiko Chama pinzani kiwe hai sio kila kukicha majanga uliko Siwezi omba mwalimu arudishwe hai labda wa kuzaliwa Tanzania tutasonga mbele wananchi wakijielewa Sio kuvuma kama upepo na kuamini ya kuambiwa Na yule anaetutaarifu ni siri nyingi amefichiwa... .............TANZANIA WHY....................
Posted on: Mon, 09 Sep 2013 23:00:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015