And when you (Muhammad SAW) see those who engage in a false conversation about Our Verses (of the Qurân) by mocking at them, stay away from them till they turn to another topic. And if Shaitân (Satan) causes you to forget, then after the remembrance sit not you in the company of those people who are the Zâlimûn (polytheists and wrongdoers, etc.). [Quran 6:68] Na unapo waona (Ewe Muhammad) wanao ziingilia Aya zetu (Aya za Quran), basi jitenge nao mpaka waingilie mazungumzo mengine. Na kama Shetani akikusahaulisha, basi baada ya kutanabahi usikae pamoja na watu madhaalimu (Washirikina,Madhwaalim na wengineo). [Quran 6:68]
Posted on: Wed, 27 Aug 2014 06:21:14 +0000