Angalia viganja vya mikono yako! je, vina mistari? kama ipo je, - TopicsExpress



          

Angalia viganja vya mikono yako! je, vina mistari? kama ipo je, kuna mtu anayeweza kuifuta? kama hakuna, basi amini kuwa hakuna mtu anayeweza kuzuia #RIZIKI na #REHEMA za mwenyezi #MUNGU juu yako. Acha kuwaza sana kuhusu maisha yako ipo siku utafanikiwa tu kwa kile unachokihitaji, Jitahidi kumshirikisha mwenyezi #MUNGU kwa kila jambo. nawatakieni #USIKU_MWEMA_WAPENDWA_AMANI_YA_BWANA_IWE_NANYI
Posted on: Thu, 15 Aug 2013 16:49:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015