Asieamini serikali imeamua kuua kabisa elimu na kukimaliza kizazi - TopicsExpress



          

Asieamini serikali imeamua kuua kabisa elimu na kukimaliza kizazi kijacho basi ataamin baadae, ule mpango wao wa 'BIG RESULTS NOW' (BRN)niljiuliza sana kua wanafunzi wataombewa au ndo vp coz isingewezekana kwa mara moja tu kulikomboa hili jahazi lililozamia nungwi, sasa mpango wao ni huu ' wizara ya elimu iliamua kuchapisha vitin vya maswali na majibu na kuwatumia walim mashulen yaan shule msingi na secondar, nimekagua mtihan wa darasa la saba huwez amin maswali yote ni ya kwenye vile vitin, kwahyo na wa secondary hawatafanya mchezo na hvo vitin coz yataletwa hayohayo, wale wanao re-sit kwa maana ya private candidate hawajapewa haya mavitin lakin watayapata tu toka huko mashulen, sasa hii BRN ina lengo gan kwetu watanzania na wadau wa elimu nchini???? Tumlaum nani??? CCM au serikali?? Kwan serikal ndo ipi???
Posted on: Mon, 16 Sep 2013 03:45:28 +0000

Trending Topics



picsexpress.com/This-week-were-giving-everyone-another-chance-to-WIN-3-awesome-topic-386190728185418">This week were giving everyone another chance to WIN 3 awesome

Recently Viewed Topics




© 2015