Aslm alykm KISA CHA UMMU HAKIM RADHIALLAHO ANHA: Ummu Hakim - TopicsExpress



          

Aslm alykm KISA CHA UMMU HAKIM RADHIALLAHO ANHA: Ummu Hakim Radhiallaho Anha alikuwa ni mkewe Ikrimah bin Abi Jahl.Alishirik ktk vita vya Uhud kwa upande wa maadui. Alisilim wakati Makka ilipotekwa.Alimpenda sana mumewe ambaye hakuweza kusilim kwa ajili ya babake (Abi Jahl)ambaye alikuwa adui muovu wa zaid wa Uislamu. Umme Hakim Radhiallah Anha alimwombea mumewe msamaha kutoka kwa Rasulullah sallallahu Alaihi Wasallam na akaenda Yemen kumshawishi mumewe ili aregee nyumbani mwake.Alimwambia mumewe unaweza kujisalimisha kutokana na upanga wa Muhammad sallallahu Alaihi Wasallam kwa kujiweka kwenye paja lake.Aliregea naye huko madina ambapo Ikrimah alisilimu na wakaanza kuishi pamoja kwa furaha.Wote wawili walishiriki ktk vita vya Syria,wakati waUkhalifah wa Abubakar Radhiallah Anha.Ikrimah aliuliwa ktk vita hivi. Kisha Ummu Hakim aliolewa na Mujahid mwingine aitwae Khalid bin Sahd Radhiallaho Anho ktk pahali paitwapo marj-Us-Saffar.Khalid bin Said altaka kukutana kimwili na mkewe Naye Ummu Hakim alimwambia kuna maadui waliotuzunguka kwaj pande zote..ITAENDELEA
Posted on: Sun, 23 Jun 2013 14:53:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015