BAADHI YA MISEMO ILIYOENEA USWAHILINI. 1. Hata uwe na bahati vp - TopicsExpress



          

BAADHI YA MISEMO ILIYOENEA USWAHILINI. 1. Hata uwe na bahati vp huwezi kupata lifti kwenye msafara wa rais. 2. Hata nyani / ngedere awe mtundu vp hawezi kudandia tawi la benki. 3. Jogoo hatongozi. 4. Message za FB hazina delivery report. 5. Hata kuwe na baridi vp huwezi kujifunika leso. 6. Hata uwe na dini vp huwezi kusongea ugali msalaba. 7. Vyombo vya habari havioshwi. 8. Mkaa hauuzwi supermaket. ONGEZEA NA SHARE STORY
Posted on: Fri, 04 Oct 2013 06:25:56 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015