BAADHI YA WATOTO WANUFAIKA KUPITIA QUR-ANI. Baadhi yao wale - TopicsExpress



          

BAADHI YA WATOTO WANUFAIKA KUPITIA QUR-ANI. Baadhi yao wale walioshiriki katika mashindano ya tah-fidhilqur-uani kisiwani ZANZIBAR ambao kwa mwaka huu wameshriki jumla ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali nch tofauti toka Zanzibar,Kenya,Uganda,Congo,Comoro,Tanga na ndani ya mikoa hapa Tanzania. mashindani hayo yameandaliwa na jumuia ya kuhifadhisha qur-ni kitaifa kupitia ahluddaawa.. mashindano hayo yametoa sura mpya kwa mwaka huu kwa kushiriki wanafunzi wengi kuliko miaka mengine.. pia kiongozi wa taasisi hiyo amesema kwamba wazee na walimu wafanye juhudi ya kutosha ili kuwaongeza wanafunzi zaidi na wawe viongozi bora hapo baadae
Posted on: Sun, 21 Jul 2013 13:34:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015