BADO SIKU 5 KUFIKIA KUANZA KWA OPERESHENI YA JK KATIKA MIKOA YA - TopicsExpress



          

BADO SIKU 5 KUFIKIA KUANZA KWA OPERESHENI YA JK KATIKA MIKOA YA GEITA, KAGERA NA KIGOMA ______ Niliona katika ndoto jambo ila nimetaka sana nisubiri mpaka nione mara ya pili ndio niseme ila halikuwa jema MAANA NILIONA OPERESHENI YA JESHI LA NCHI YETU WENYEWE NDANI YA NCHI DHIDI YA WANANCHI NA HALIKUWA JEMA MAANA NILINA DAMU IKIMWAGIKA , sikufahamu specific ni eneo gani hiyo operation ilifanywa ila iliwahusu jeshi na wananchi na damu iliyomwagwa ni ya wananchi, maana ilikuwa msako usio na mfano na hapakupatikana mahali pa kujificha kwa ye yote. . Yaani kabla hata Rwanda hajaanza ishu yake, nimeona damu ndani ya nchi ikimwagika TULIOMBEE TAIFA HALI SI NJEMA
Posted on: Wed, 07 Aug 2013 10:01:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015