BBC Swahili wrote: Karibu katika amka na BBC asubuhi hii. - TopicsExpress



          

BBC Swahili wrote: Karibu katika amka na BBC asubuhi hii. Tuliyokuandalia hivi leo yanajumuisha; *Makabiliano yazuka upya kati ya wafuasi wa Mohamed Morsi na polisi katika mji wa Alexandria, Misri. *Rais wa Marekani Barack Obama akatiza shughuli zake na kushutumu serikali ya mpito ya Misri. *Sala ya maadhimisho ya mwaka mmoja kuwakumbuka wafanyikazi wa migodi waliouawa na polisi Afrika kusini kuandaliwa leo
Posted on: Fri, 16 Aug 2013 03:58:31 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015