BHANGI NI NOOMA: wavutaji bangi wawili walikuwa wanaivutia kwa - TopicsExpress



          

BHANGI NI NOOMA: wavutaji bangi wawili walikuwa wanaivutia kwa keja moja iliyokuwa na kioo kubwa. Ilikuwa imewashka mpaka wanatoa moshi na maskio. Mmoja akaamka na kumshow mwenzake "brathe cheki pale kuna watu wengne wawili wanavuta si twende tu wajoin ndo stori zishike" mwenzake akaamka walipokuwa wanakaribia kioo, mvutaji wa pili akamshika mwenzake mkono "hahaa we chizi tunaenda wapi? Huoni wao ndo wanakam kwetu? Turudi watupate" mwnge akaamini na wakarudi kuketi chini
Posted on: Sun, 29 Sep 2013 05:03:19 +0000

Trending Topics



ss="stbody" style="min-height:30px;">
Chaque personne naît dans des circonstances qui ne dépendent pas
Maintenance Perbaikan Bug 2 Agustus 2013 (Selesai) Halo
The article itself isnt very interesting in my opinion (since

Recently Viewed Topics




© 2015