BUNGENI LEO: Waziri wa ushirikiano wa Afrika mashariki, Samwel - TopicsExpress



          

BUNGENI LEO: Waziri wa ushirikiano wa Afrika mashariki, Samwel Sita amesema hakuna nchi itakayoipa talaka Tanzania katika jumuiya ya Afrika Mashariki, bali Tanzania ndiyo itakayotoa hiyo talaka Pia Waziri Sita amesema Tanzania haitahudhuria mikutano yote ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yenye agenda zisizohusu masuala ya jumuiya Na ameongeza kuwa Tanzania haiyatambui makubaliano ya mkutano wa marais wa Rwanda, Kenya na Uganda, asema hayaihusu Jumuiya
Posted on: Wed, 30 Oct 2013 08:19:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015