Baunsa mmoja aliyekuwa kakaa kaunta ya baa fulani akinyanyasa - TopicsExpress



          

Baunsa mmoja aliyekuwa kakaa kaunta ya baa fulani akinyanyasa watu na misuli yake, aliondoka kwa furaha kwenda chooni, lakini akarudi amekasirika jasho linamtoka; BAUNSA: Baa hii washenzi wote KAUNTA: Kwani vipi mzee? Tumekukosea nini mbona unatuonea? BAUNSA: Nimeenda chooni mwenzenu mmoja kaja na kuniwekea pisto kichwani akadai nikikataa asinibake ananilipua na risasi ya kichwa KAUNTA: He pole wahuni hao, sasa imekuwaje? BAUNSA: Imekuwaje nini? Maswali gani hayo? Kwani umesikia mlio wa bunduki. Washenzi wote baa hii na sirudi tena kunywa humu.
Posted on: Wed, 16 Oct 2013 04:48:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015