“Bwana tuokoe tunaangamia! Yesu akawaambia” Enyi watu wenye - TopicsExpress



          

“Bwana tuokoe tunaangamia! Yesu akawaambia” Enyi watu wenye imani haba;mbona mnaogopa?”…..Hujambo ndugu yangu.Ni siku ya pili katika mwezi huu wa saba. Karibia kwenye “Chariot” usafiri pamoja nami MC Judy katika Tafrija za kheri njema. KIITIKIO cha Zaburi yetu hii leo:Fadhili zako ee Bwana,zi mbele ya macho yangu. Somo la Injili MATHAYO 8:23-22. Leo pia tutakuwa tutakuwa na Mpishi atakayetufundisha jinsi ya kupika chakula kitamu. Sema nami,unataka kuchangamka na wimbo upi?unachangamsha akina nani? Na je,wimbo upi unapendekeza kuwa katika orodha ya 21 zilizovuma wiki hii?
Posted on: Tue, 02 Jul 2013 07:56:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015