CG FM katika michezo usiku huu ligi kuu Tanzania Bara Rhino - TopicsExpress



          

CG FM katika michezo usiku huu ligi kuu Tanzania Bara Rhino rangers uso kwa uso kwa uso na Ashanti hapo kesho hapa mkoani Tabora,,,,,kuelekea Namibia Twiga Stars kuanza na Zambia,,,,barani Afrika Senegal washindwa kuamua uwanja wa kuanza dhidi ya Ivory coast huku FIFA ikiwacharukia.....huko Ulaya Mata aambiwa amwige Ronaldo ili akubaliane na mfumo wa Mourinho na Capital one kuendelea usiku huu....ungana na ADAM HHANDO kwa uliye mbali cgfmradio
Posted on: Tue, 24 Sep 2013 16:21:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015