CHADEMA: Kuna vita ngumu inaikabili Chadema. Sio tu kuiangusha - TopicsExpress



          

CHADEMA: Kuna vita ngumu inaikabili Chadema. Sio tu kuiangusha CCCM bali pia kuwaangusha waovu waliopo nje ya serikali kwa maana ya kutokuwa na nafasi za uongozi lakini wamo ndani ya serikali kwa maana ya kufadhili CCCM. Wafanyabiashara haramu,(mfMADAWA YA KULEVYA, NYARA ZA SERIKALI.) Majambazi, Wakwepa kodi, Wapigaji wa mjini(matapeli), Mafisadi na wananchi wengine..Wengi wao ni wafadhili wa CCCM na?au wanachama wa zamani..Wataangushwaje? Chadema wamejipangaje? Je! na wapo hawapo kundi hilihili? Tanzania ina kizazi cha kuijenga leo na kuifanya taifa kubwaaaa?????????????
Posted on: Thu, 05 Sep 2013 22:13:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015