CHALI:Niaje my dia DAME:Poa sana babe...umeshindaje leo? CHALI:Mi - TopicsExpress



          

CHALI:Niaje my dia DAME:Poa sana babe...umeshindaje leo? CHALI:Mi nimeshinda poa labda wewe? DAME:Kuchoka ndo zangu,ata ndo natoka class CHALI:Aki nimekuhata, c kesho ukam kunitembelea (after 10 min.) DAME:Hehe hmmmm...,kwani unataka tudo nn?;-) CHALI:Hehe c unajua tu hii maneno,utakam? (after 30 min.) DAME:Sema swirry,umecheki news venye hao wasee wamekufakwa accident?gosh aki imenitouch CHALI:Nkt saa stori za news zimetoka wapi?ebu reply iyo swali yangu kwanza (after 15 min.) DAME:Karibu supper my dia CHALI:Walai c unanitenda DAME:Aki woiyeee swirry, umejam kwa nn? oooh wacha nireply txt yako ata. chill kiasi (after 1hr) (text inaingia,chali anakimbia kufungua anaget ni ya safcom hehe kulapwa nayo, after 10 min.) DAME:Gd9t my luv, i luv u sooo much CHALI:Yaani ni mi umeniweka na suspense ivo ni ka ni muvi nawatch?! achanga za ovyo, ati unanisho nichill utareply, kwani text zako kwa iyo fon unazitoanga kwa settings ama keypad yako inaishanga ukitext mtu? sasa ww itakua nabidi nakucall juu kuchat na ww jo inaweza fanya nichizi nikingoja reply (after 10 min.) DAME:Darling wat r u tokin abt aki? its seems today ur really in a bad mood Enyewe madame mbona most of u mnakawianga kureply na saa iyo hamko busy mpaka msee anaskia kujinyonga na charger ya fon? wanaume tunaumia jamaneni #chizi
Posted on: Sat, 29 Jun 2013 11:10:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015