CHEKA NA HII STORI......Nakumbuka Iliku Tarehe 25/2 Nikiwa Stendi - TopicsExpress



          

CHEKA NA HII STORI......Nakumbuka Iliku Tarehe 25/2 Nikiwa Stendi Ya Mabasi Makubwa Yaendayo Mikoani Tayari Kwa Kwenda Mbeya Kwenye Harusi Ya Dada Yangu Nimekuta Magari Yote Yamejaa..Nikiwa Sijui La Kufanya Ghafla Anakuja Konda Wa basi Mojawapo na Kuniambia Kaka Kuna Nafasi Moja Siti Ya Mwisho Vipi Unaweza Kwenda..? Ooops! Nilishusha pumzi Kuashiria Sipendi Siti Ya Mwisho Kwenye basi..Nikafikiria Umuhimu Wa Tukio Lenyewe Nikasema Poa Kaka Nipe Tiketi Konda bila Kusita Akanipa Tiketi Nikaingia Kwenye Gari Tayari Kwa Safari.....Dakika 15 Kabla Gari Kuondoka Akaingia Dada Mmoja Mrembo Kajitupia balaa Mim Kumuona Tu Nikaduwaa Kwa Jinsi Alivyo Mzuri Sikuamin Macho Yangu Alipokuja na Kukaa Karibu Yangu Siti Moja na Mimi............Mmmh! Niwamalizia baadae
Posted on: Sun, 06 Oct 2013 09:59:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015