*** CHEMSHA AKILI HAPA *** Mkeo na mama yako mzazi wana safiri - TopicsExpress



          

*** CHEMSHA AKILI HAPA *** Mkeo na mama yako mzazi wana safiri pamoja kwa gari ulilo mnunulia mkeo bahati mbaya wanapata ajali mbaya na wote wanapelekwa hospital wakiwa mahututi. Doctor anasema hawawezi kupona isipokua kama watabadirishana vichwa chamama kiende kwa mkeo na chamkeo kiende kwa mama. Operation inafanyika na wanapona vizuri kabisa. Umeenda kuwachukua hospital, je! nani utampeleka kwa baba na nani utamfanya mkeo?
Posted on: Tue, 01 Oct 2013 16:20:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015