CHOMBEZO: HOUSE GIRL MTUNZI: JUNIOR WA KIKONGWE SEHEMU YA - TopicsExpress



          

CHOMBEZO: HOUSE GIRL MTUNZI: JUNIOR WA KIKONGWE SEHEMU YA KWANZA xxxxxxxxxxxxxx Ilikuwa ni siku ya jumamosi, majira ya mchana. nikiwa nyumbani nimejipumzisha sebuleni, huku nikiwa nimefungulia mziki wa taratibu. Mziki ule ulikuwa ni wa Celin Dion Power of love. Kiukweli huo mziki ilikuwa ni lazima kila nikipata muda niusikilize. Kwani ulikuwa ukipenya vyema kwenye ngoma za masikio yangu. Bahati nzuri wazazi wangu hawakuwepo, nilikuwa mimi pamoja na mfanyakazi wetu wa kike. Tena yeye alikuwa nje akifua nguo, hivyo nikaamua kuongeza sauti na kuwa ya juu, kiasi kwamba hata mtu angeniita nisingesikia kabisa. Wakati nazidi kuburudika na wimbo huo maridhawa kabisa, gafla nikajikuta nikahama kihisia na kuimba huku nikiwa nalitaja jina la Neema. Neema alikuwa ni msichana niliyempenda kwa dhati ila kwa bahati mbaya yeye hakunipenda kutoka moyoni. Lakini kamwe sikuacha kumkumbuka. Nikazidi kuimba huku machozi yakinitoka mithili ya mvua. Kumbe wakati nazidi kuimba, yule msichana wetu wa kazi alikuwa akiniangalia huku akinisogelea. Ila kwakuwa nilikuwa nimezama kwenye hisia kali, sikuweza kulitambua hilo. Nilishtuliwa na sauti ya mziki kuzimwa gafla. Kitendo kile kiliniudhi kwani mziki ule haukuwa umefika mwisho, nikadhani labda ni baba ila nilipoinua macho yangu, hakuwa baba bali msichana wetu wa kazi tena akiwa anacheka. Nilishindwa kuhimili hasira zangu, nikainuka pale kwenye sofa na kumsogelea kwa kasi ya ajabu sana. Lengo likiwa ni kumshushia mvua ya kipigo, lakini kwa bahati mbaya nilipomfikia na kutaka kumshika, akafanya kama kunikwepa. Kitendo ambacho sikuwa nimekitarajia, ni kwamba aliponikwepa bahati mbaya akaanguka chini na ile khanga aliyokuwa amejitanda ika... Gonga like, zikifika 20 ndani ya dakika kumi tunaendeleza mzigo. Hadi majogoo.
Posted on: Fri, 27 Sep 2013 20:33:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015