COCOJAMBO ASUBUHI HII: IJUMAA, 01.11.2013: (HABARI). Serikali - TopicsExpress



          

COCOJAMBO ASUBUHI HII: IJUMAA, 01.11.2013: (HABARI). Serikali imebadilisha viwango vya ufaulu wa elimu ya kidato cha nne na sita ambapo daraja la sifuri sasa limefutwa na imeongeza daraja la tano kiwango cha alama ya F ambayo sasa itakuwa alama kati ya 0 hadi 20. Kufuatia kauli ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, kuwa Tanzania itatoa uamuzi mgumu juu ya uanachama wake katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Je, una maoni gani katika hili? Jeshi la Polisi limekiri kuwa na changamoto kadhaa juu ya dhana ya Polisi Jamii. Mahakama ya kimataifa inayoshughukia kesi za uhalifu ya ICC imeahirisha kesi dhidi ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, hadi mwaka ujao. Jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo limesema jana kuwa linawasaka waasi waliotorokea misituni na milimani karibu na mipaka na nchi jirani za Uganda na Rwanda baada ya kuwafurusha kutoka ngome zao mashariki mwa nchi hiyo. FILIPPO INZAGHI, Lejendari wa AC Milan mwenye Umri wa Miaka 40, anaamini kabisa kuwa Masupastaa wa leo, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, hawawezi hata chembe kuigusa Rekodi yake ya kung’ara, kuwika na kuleta ushindi kwenye Fainali ya Kombe kubwa. MAONI: +255 772 389889.
Posted on: Fri, 01 Nov 2013 03:23:42 +0000

Trending Topics



tyle="margin-left:0px; min-height:30px;"> Dr.Herbert Bronnenmayer hat einen Link geteilt. 14. November um
msqcgwwhVdhurv99
A philosophy professor stood before his class with some items on

Recently Viewed Topics




© 2015