COCOSPORTS USIKU HUU: JUMANNE, 01.10.2013: (Saa 2 kamili usiku - TopicsExpress



          

COCOSPORTS USIKU HUU: JUMANNE, 01.10.2013: (Saa 2 kamili usiku huu). Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limewasilisha rasmi suala la madai ya aliyekuwa Kocha wa Yanga, Kostadin Papic dhidi ya klabu hiyo katika Kamati ya Hadhi ya Wachezaji. Michuano ya Kombe la Chalenji inayoandaliwa na Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) inafanyika Kenya kuanzia Novemba 27 hadi Desemba 12 mwaka huu. IKIWA Jumatano ataichezea Manchester United kwenye Mechi na Shakhtar Donetsk ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, Mkongwe Ryan Giggs basi ataweka Rekodi ya kuwa Mchezaji pekee aliecheza Mechi nyingiza UCL kupita yeyote yule.
Posted on: Tue, 01 Oct 2013 17:24:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015