Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua - TopicsExpress



          

Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho. Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili John Tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si John Tendwa. Endelea kusoma zaidi hapa ==> bit.ly/12Qdhue
Posted on: Fri, 26 Jul 2013 13:20:39 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015