Charateristic Za fight za kitambo.... 1. Hakuna za ngumi za macho, - TopicsExpress



          

Charateristic Za fight za kitambo.... 1. Hakuna za ngumi za macho, tumbo, kutoka shingo kwenda juu na kushikana viazi...."funda iyo nifight iyo????" 2. Kuchora ka line kwa ground ati pita uone, na akipita unaanza za "basi anzia kinigonga" 3. Kuwekea Star ju ya mkono ati mtu akipanguza ngumi zinatembea... 4. Matisho ati "unajua babake ni polisi??? Unajua siz yake ni wa INIVACITY... "Unajua walikula nyama jana?? aiiiiiii.... 5. Ukigongwa unachocha ati huskii uchungu ati ugongwe tena.. unaudwa mpaka unalia.. 6. Ukifinywa kidogo tu unakataa fight.. 7. Ukiona kimeumana meno inafanya kazi... kama mimi iyo ndo ilikuwa stronghold.. 8. Macompetitor kushinda wakimshow "wee kim ngumi za meno, gonga magoti ya mapua.." 9. Kupigana alafu mnapumzika ama mnasema muendelee kesho 10. Kutoa mkorino kilemba unawin hapo hapo 11. Kuchukua dame skirt juu unawin pap 12. Kukataa fight ju unajua bro yake ni wa sokondary... #somi
Posted on: Sat, 24 Aug 2013 09:19:27 +0000

Trending Topics



10
(These go to songs. There are Daemons/Spirits in this set of

Recently Viewed Topics




© 2015