Cheki maajabu ya Mungu: Hakuna nani wala nani, wote CHOONI!Uwe - TopicsExpress



          

Cheki maajabu ya Mungu: Hakuna nani wala nani, wote CHOONI!Uwe maskini au tajiri wote CHOONI!Hakuna umashuhuri wala nini, wote CHOONI!Uwe Rais au Mbunge, wote CHOONI!Uwe Sharo au Hardco, wote CHOONI!Uwe Maarufu kama Rihana au si maarufu kama mimi wote CHOONI!Asante Mungu kwa kuonyesha Maajabu yako YA USAWA, hakuna mimi wala wewe unayesoma SMS hii, wote CHOONI!Kama hujaenda CHOONI nibeep, kama umeenda kausha! ha! ha! haaaa!.
Posted on: Sun, 14 Jul 2013 14:50:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015