Chemsha akili kidogo...!!then unipe jibu.Nguo inauzwa10,000/= huna - TopicsExpress



          

Chemsha akili kidogo...!!then unipe jibu.Nguo inauzwa10,000/= huna pesa,ukaenda kukopa kwa Dada 5,000/=na Kaka 5,000/=jumla 10,000/=ukaenda dukani ukaomba upunguziwe ukauziwa 9,700/= ukabakiwa na300 ukapunguza deni Kaka yako ukampa 100,Dada ukampa 100 ukabaki na 100,jumla Kaka akawa anakudai 4,900 na Dada 4,900 ukijumlisha unapata 9,800/= ukiongeza na 100 yako uliyobakinayo unapata 9,900/=je,100 iko wapi? Naomba Jibu.
Posted on: Mon, 30 Sep 2013 20:11:39 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015